23 C
Dar es Salaam
Friday, June 2, 2023

Contact us: [email protected]

Watanzania waliokwama Sudan warejea nyumbani

Na Mwandishi Wetu, Mtanzania Digital

Ndege iliyowabeba raia wa Tanzania waliokuwa wamekwama Sudan imewasili salama Jijini Dar es Salaam.

Watanzania hao waliookolewa waliondoka Sudan kwa mabasi kuelekea Addis Ababa kabla ya kuwasili nchini kwa ndege ya Shirika la Ndege ATCL.

Waziri wa Mambo ya Nje wa Tanzania, Dk.Stergomena Tax amesema kufuatia siku tatu za kusitisha mapigano nchini Sudan, wameweza kuwasafirisha Watanzania 200, wanafunzi, watumishi wa Ubalozi na raia wengine.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
213,250FollowersFollow
568,000SubscribersSubscribe

Latest Articles