Wastara: Nimeridhika na mwanaume aliyenivisha pete

0
1689
Wastara Thomas
Mwigizaji wa filamu nchini, Wastara Thomas
Wastara Thomas
Mwigizaji wa filamu nchini, Wastara Thomas

NA RHOBI CHACHA, DARE S SALAAM

MWIGIZAJI wa filamu nchini, Wastara Juma, amesema kuwa mwanaume aliyemvisha pete ndiye aliyeridhika naye kutoka moyoni.

Akizungumza na MTANZANIA, Wastara alisema amekaa na kuchunguza ni mwanaume gani anayeweza kuwa naye katika maisha baada ya mume wake, Juma Kilowoko ‘Sajuki’ kufariki dunia na ndipo alipompata kijana mmoja wa Kiarabu (jina linahifadhiwa).

“Kama nilivyosema siwezi kukurupuka kuolewa na mwanaume ambaye sijaridhika naye kutoka moyoni, hivyo nashukuru kumpata mwanaume mwenye sifa ninazotaka, namshukuru Mungu,” alisema Wastara.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here