24 C
Dar es Salaam
Sunday, May 19, 2024

Contact us: [email protected]

Wakazi kuachia ‘Party Exclusive’ leo

14032deNA JENNIFER ULLEMBO

MKALI wa wimbo wa ‘Wanawake wa Dar’, ‘Usinishike mkono’, ‘One Day Yes’, ‘Stakishari’ na ‘Dengue Fever’, Webiro Wassira ‘Wakazi’ leo anatarajia kuachia redioni wimbo wake mpya unaoitwa ‘Party Exclusive’.

Wakazi alisema wimbo huo ni miongoni mwa nyimbo zitakazotengeneza albamu  yake atakayoiita Kisimani.

“Baada ya wimbo huu mashabiki wangu watarajie katika wimbo wangu mpya kuniona nikishirikiana na msanii kutoka Kenya anayefahamika kwa jina la Antoneosoul kwa lengo la kujitanua kimataifa,’’ alisema Wakazi.

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles