23.7 C
Dar es Salaam
Sunday, October 1, 2023

Contact us: [email protected]

Bushoke, Dully Sykes na Mr. Blue watoka na Angel

Download New Music Bushoke Ft Mr Blue & Dully Sykes – AngelNA VICTORIA PATRICK (TSJ)

MSANII  wa muziki wa Kizazi kipya, Ruta Maximilian ‘Bushoke’, Dully Sykes na Mr. Blue wanatarajia kutoka na wimbo unaoitwa ‘Angel’ ukiwa na lengo la kumrudisha Bushoke katika ramani ya muziki kama alivyokuwa awali.

Bushoke alisema wimbo huo umetayarishwa na Dully Sykes na utaachiwa mwishoni mwa mwezi huu, huku akiamini utarudisha imani ya mashabiki wake kuendelea kumshabikia na kupenda muziki wake kama walivyokuwa awali.

“Nilikuwa kimya kwa muda na sasa nakuja kivingine nikiwa na wimbo mpya, mashabiki wangu wasubiri kupata burudani ya aina yake kutoka kwangu,” alisema Bushoke.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,770FollowersFollow
574,000SubscribersSubscribe

Latest Articles