24.5 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

‘VYUMA VIMEKAZA’ NI KAULI ZA KUZIMU


Na Waandishi Wetu – Dar/Mikoani

MCHUNGAJI wa Askofu  wa  Kanisa la  Kiinjili la  Kilutheri  Tanzania (KKKT) Usharika wa Kijitonyama, Dar es Salaam, Eliona Kimaro, amesema kauli za ‘vyuma vimekaza’ na ‘pambana na hali yako’ ni za kuzimu na hazipaswi kuendelea kuwepo mwaka huu.

Akihubiri wakati wa ibada ya mkesha wa Mwaka Mpya usiku wa kuamkia jana, Kimaro alisema kauli hizo zilitawala mwaka jana na si vema watu wakavuka nazo.

“Mapepo ya mateso yanakuja mahali hadi yanatengeneza mapambio na watu wanasema usihangaike na mimi pambana na hali yako… ni sentensi za kuzimu.

“Hizi sentensi hazitavuka 2018, nazifuta kwa damu ya Yesu,” alisema ……………………………….

Kwa habari zaidi usikose kununua nakala yako ya MTANZANIA.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles