27.9 C
Dar es Salaam
Monday, February 26, 2024

Contact us: [email protected]

VIATU VYA KANYE WEST KUUZWA SH 6555,00

los angeles, marekani

MKALI wa hip hop, Kanye West, ametambulisha viatu vyake vipya huku pea moja itakuwa ikiuzwa Dola za Marekani 300 sawa na Sh 655,500 za Tanzania.

Mbali na viatu hivyo aina ya raba ambavyo pia vitakuwa vikitofautiana bei, staa huyo atakuwa na ‘t-shirt’ na kofia.

Hata hivyo, viatu hivyo vitaanza kuuzwa Novemba mosi, mwaka huu.

Taarifa za ujio wa bidhaa hizo sokoni hazikutolewa mapema, ingawa kuna kumbukumbu nzuri kuwa West alianza kuvivaa tangu Februari.

 

 

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles