V’ee Jay atambulisha duka la ‘Fiziland Market’

0
355

TENNESSEE, MAREKANI

MSANII na kizazi kipya kutoka Marekani, V’ee Jay, amejiongeza kwa kufungua duka lake jipya la Fiziland Market linalouza nguzo mbalimbali maeneo ya Nashville, Tennessee na online kwenye tovuti yao www.fizilandmarket.com.

V’ee Jay ambaye mbali na muziki ni mjasiliamali na mfanyabiashara amesema lengo la kufungua duka hilo ni kuhakikisha watu wanapendeza na kuwahamashisha vijana wa Marekani na Afrika kwa ujumla kufanya biashara.

“Tunauza nguo za wasichana na wavulana kakam jeans, suti, nguo za watoto, viatu nk, lengo langu mimi na Fiziland Market ni kuhakikisha watu wanakuwa na mwonekano mzuri na kuwa-inspire vijana wezangu hapa USA duniani kote, sasa tupo kwenye harakati za kutafuta watu wa kutangaza bidhaa zetu na kudhamini kwahiyo popote ulipo kama una sifa tucheki kwenye email yetu ya Fiziland.taxservice@gmail.com,” alifunguka V’ee.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here