28.1 C
Dar es Salaam
Monday, November 29, 2021

Upendo Nkone: Umaarufu ni shida, mateso

nkoneeNA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI mahiri wa nyimbo za injili, Upendo Nkone, amesema umaarufu kwa wasanii ni mateso kwa kuwa humjengea woga msanii kufanya jambo lolote popote hata kama moyo wake unapenda.
Upendo alieleza kwamba, msanii maarufu anapofanya jambo tofauti jamii humchukulia tofauti hali inayofanya ashindwe ama afikie mafanikio kwa mateso makubwa ya kutafuta kimya kimya.
“Umaarufu kwa msanii ni mzuri lakini ni mateso, uzuri ni kwa kuwa unarahisisha kazi zako lakini ni mateso kwa namna nyingine unatakiwa utende mema tu usikosee kama malaika,” alisema Nkone.

- Advertisement -
bestbettingafrica

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
167,324FollowersFollow
526,000SubscribersSubscribe
- Advertisement -
10Bet

Latest Articles