24.7 C
Dar es Salaam
Saturday, April 13, 2024

Contact us: [email protected]

Unapokuwa na Meridianbet, ubingwa ni lazima!

Tengeneza Faida Kupitia Michezo Yenye Odds Kubwa Wiki Hii.

Kunako Ligi Soka nchini Uholanzi Ijumaa hii, RKC Waalwijk atachuna na FC Emmen. Kupitia Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa RKC Waalwijk kama mwenyeji wa mchezo huu.

Kule mchini Italia kwenye Serie A, Bologna atachuana na Benevento katika muendelezo wa ligi hiyo leo usiku. Unaweza kupata faida kwa Odds ya 1.85 waliyopatiwa Bologna kwenye Meridianbet.

Jumamosi hii moto utawaka pale King Power Stadium. Leicester City kuwakaribisha Liverpool. Timu ya 3 dhidi ya 4 kwenye msimamo wa EPL. Meridianbet tumekupa Odds ya 2.25 kwa Liverpool kwenye mchezo huu.

Kule kwenye La Liga, Granada atachuana na vinara wa ligi – Atletico Madrid. Atletico anakila sababu ya kuzitafuta pointi 3 muhimu wakati huu ambao wamepishana pointi chache na majirani zao, Real Madrid. Hapa kuna Odds ya 1.80 kwa Atletico kupitia Meridianbet.

Mtanange mwingine wa kukata na shoka Jumamosi hii ni Napoli vs Juventus kwenye Serie A. Matokeo ya ushindi ndio kitu cha msingi kwa timu zote mbili kwenye mchezo huu. Vita yao ni faida kwako, kuna Odds ya 2.10 kwa Juventus kutoka Meridianbet.

Jumapili hii kwenye EPL ni Arsenal vs Leeds, timu zote bado zinajitafuta katika msimamo wa EPL lakini zinapokutana ni habari nyingine. Hapa kuna Odds ya 1.90 kwa Arsenal kupitia Meridianbet.

Vilevile, pale Etihad Stadium, Manchester City atawakaribisha Tottenham Hot Spurs. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.33 kwa Citykwenye mchezo huu.

Kwenye Serie A ni Inter Milan vs Lazio Jumapili hii, vijana wa Conte wanaendelea walipoishia msimu uliopita. Mbio za kuisaka Scudetto zinazidi kushika kasi. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.80 kwa Inter.

Jumatatu ni Verona vs Parma, huu ni mchezo unaoweza kukupatia faida endapo utaitumia Odds ya 2.10 waliyopatiwa Verona kwenye mchezo huu kupitia Meridianbet.

Kwenye La Liga, Cadiz watawakaribisha Athletic Bilbao siku ya Jumatatu. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.15 kwa Bilbao kwenye mchezo huu.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

3 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles