28.4 C
Dar es Salaam
Thursday, February 22, 2024

Contact us: [email protected]

Uchaguzi Haiti waota mbawa

ILIFAHAMIKA kuwa Uchaguzi Mkuu nchini Haiti ungefanyika Novemba, mwaka huu, lakini umepigwa kalenda, hatua iliyoambatana na kuvunjwa kwa Tume iliyoandaa mchakato huo.

Waziri Mkuu, Ariel Henry, ndiye aliyevunja Bodi hiyo, bila kuweka wazi siku atakayounda nyingine.

Henry aliyeteuliwa siku mbili kabla ya Rais Moise kufariki, ametumia gazeti la Serikali kutangaza kuivunja Tume hiyo iliyokuwa na wajumbe tisa.

Haiti imekuwa kwenye mkwamo wa kisiasa tangu Rais wa nchi hiyo, Jovenel Moise, alipouawa Julai, mwaka huu, na hii inakuwa mara ya nne kwa Uchaguzi Mkuu huo kupigwa kalenda.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles