23.9 C
Dar es Salaam
Friday, September 30, 2022

Tyga ampa gari mpenzi wake Kylie

Tyga na Kylie-JennerNEW YORK, Marekani

NYOTA wa muziki nchini Marekani, Tyga juzi amemnunulia mpenzi wake, Kylie Jenner, gari aina ya Mercedes G Wagon, kama zawadi ya kukumbuka siku yake ya kuzaliwa.

Mrembo huyo juzi alitimiza miaka 18 juzi. Zawadi hiyo ilimshtua kutokana na kutotegemea kupata zawadi kama hiyo kutoka kwa mpenzi huyo.

“Ni bonge la zawadi kwa upande wangu, sikutarajia kupokea zawadi kama hii, Tyga ameonesha upendo wa dhati kutoka kwangu,” alisema Kylie.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
202,298FollowersFollow
554,000SubscribersSubscribe

Latest Articles