Avril ndiye mvaaji bora Kenya

0
1134

Avril1 Judith Nyambura MwangiNAIROBI, Kenya

MSANII wa muziki nchini Kenya, Judith Mwangi ‘Avril’, wiki iliyopita ameshinda tuzo ya msanii bora anayejua kuvaa vizuri kwa upande wa wanawake.

Tuzo hizo ziliandaliwa na kampuni ya Jumia Kenya Glamour ya nchini humo ambayo imemuwezesha kuwashinda wasanii wa kike wote nchini humo.

“Nashukuru kupata tuzo hiyo, ninaamini kuwa watu wananitazama na ndiyo maana nimepewa tuzo hiyo, huu ni wakati wa watu kujifunza kutoka kwangu,” alisema Avril.

 

 

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here