Uchambuzi wa Sebastien Satigui
Kufuatia tathmini ya miezi 43, Mamlaka ya Usimamizi waChakula na Dawa nchini Marekani (FDA) mnamo Julai 7 iliagiza uuzaji wa IQOS nchini humo, Philip Morris International’s (PMI) mfumo wa joto wa tumbaku, kama bidhaailiyorekebishwa ya tumbaku.
Uamuzi huu wa FDA (Marekani) unaashiria mara ya kwanza kwa shirika hilo kutoa agizo la uuzaji la MRTP(Modified Risk Tobacco Product) mbadala wa sigara wa elektroniki. Mamlakailigundua IQOS kuwa “inafaa kukuza afya ya umma nainatarajiwa kuongeza faida kwenye afya ya watu kwa ujumla.”
Wakati FDA haikubali IQOS, uamuzi wake ulifuatilia hakiki yakisayansi ya ukurasa zaidi ya milioni 1 wa ushahidiuliowasilishwa na PMI na uliozingatia tafiti huru.
Mamlaka hiyo iliongezea kwamba bidhaa za tumbaku ambazohaziwezi kuwaka kama IQOS hutofautiana na sigara nyinginehivyo kupunguza uwezekano wa mwili kupata kemikalihatarishi.
Hii inaambatana na hitimisho la mapema la vyombo vyakisheria na kisayansi, nchini Uingereza, Ujerumani, naUholanzi, ambazo zimegundua kuwa bidhaa hiyo hutoa viwangovya chini vya sumu hatarishi ukilinganisha na sigara kali.
Utafiti huo unatambua teknolojia ya kupunguza athari ya”kutokuwasha-moto”, ambayo huwapa wavuta sigara nikotini, huku ikipunguza sana hatari zinazohusiana na muwako wasigara ya kawaida.
Kwa kuzingatia kuwa uvutaji wa sigara unaua watu zaidi yamilioni saba ulimwenguni kila mwaka, uamuzi wa USDA unafungua fursa ya afya ya umma katika mapambano dhidi yajanga la tumbaku ulimwenguni. Hii ni katika kuhimiza uhamajiwa haraka kutoka kwa sigara kali kwenda kwa njia mbadalakama IQOS – kwa watu wazima wanaovuta sigara ambaowameshindwa au hawataki kuacha – inaweza kuokoa maisha.
Uvutaji wa sigara unakua haraka barani Afrika na vifo vinazidikuongezeka. Wakati viwango vya sigara vimepungua katika nchitajiri, viwango hivyo vimekua katika mataifa masikini. Katikakusini mwa Jangwa la Sahara, matumizi ya sigara yaliongezekakwa zaidi ya asilimia 50 kati ya 1980 na 2016. Kati ya vifo vyawatu wazima katika nchi za Kiafrika, vifo hivyo vinasababishwana moshi wa pembeni. Zaidi ya asilimia 60 ni kati ya wanawakeambao wanaishi na hufanya kazi na wavutaji sigara.
Masomo sita ya kujifunza kutoka kwa uamuzi wa USFDA namamlaka kama hiyo ya udhibiti huko Ulaya.1. Mbinu thabiti ya kudhibiti tumbaku, ambayo inashutumubidhaa zote za tumbaku kama moja ya kisababishi cha athari kwa afya ya umma, ina nafasi ndogo ya kupunguzamadhara ya sigara katika ulimwengu wa leo;2. Mamlaka za udhibiti zinazotegemea utafiti unaotambuateknolojia mpya za kupunguza madhara zinaweza kusaidiakuunda sera madhubuti za umma kupunguza hatari zakuvuta sigara;3. Sekta ya tumbaku lazima iende haraka katika kukomeshautengenezaji na kuuza sigara za kawaida;4. Inapaswa kupunguza gharama ya bidhaa zinazopunguzahatari na kurahisisha upatikana wake kwa wavutaji sigarawatu wazima barani Afrika;5. Nchi zinapaswa kuzingatia kupunguza uharibifu katika safuyao ya hatua za kudhibiti tumbaku na kushirikisha tasnia yatumbaku ili kupata njia bora za kufanya bidhaa mpyazipatikane kwa watu wazima wanaovuta sigara hawafai au hawataki kuacha, ikijumuisha ushuru kwenye sigara zakawaida, wakati kuzipunguza kwa kiasi kikubwa kwenyebidhaa zilizopunguzwa hatari;6. Katika Afrika nzima, ambapo umri wa wastani ni chini yamiaka 25, hatua madhubuti lazima zifanywe ili kuwalindavijana wenye umri wa chini kutoka kwa kupata bidhaampya, kwa kuzingatia kwamba wameonyeshwa mbadalabora lakini ambao sio kwamba hauna hatari kabisa.
Katika ulimwengu mzuri, wanadamu wangeepuka vitu vyotevisivyo vya lazima ambavyo vina athari mbaya kwa afya zao. Kwa bahati mbaya, sivyo ilivyo na labda hautawahi kuwa hivyo. Inahitaji ujasiri na utashi wa kisiasa, lakini ni muhimu kwamamlaka za afya ya umma kuchukua hatua za kupunguza hatarikwa wavutaji zaidi ya bilioni moja ulimwenguni.