25.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Trump, Putin kufanya mazungumzo

Moscow, URUSI 

IKULU ya Urusi imearifu kwamba Rais Vladmir Putin na mwenzake wa Marekani, Donald Trump, huenda wakakutana kwa muda mfupi katika mkutano wa kundi la nchi tajiri kiviwanda na zile zinazoinukia kiuchumi la G20 utakaofanyika Japan wiki ijayo.

Msemaji wa Putin, Dmitry Peskov, aliwaambia waandishi wa habari kuwa viongozi hao hawatokuwa na mkutano kamili watakapokutana katika mkutano huo wa kilele utakaofanyika mjini Osaka kuanzia Juni 28.

Wiki iliyopita, Trump alisema atakutana na Putin pembezoni mwa mkutano huo wa Japan, lakini alitaka uhudhuriwe pia na watu wengine kwa sababu waandishi wa habari hawana wanachokiamini.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles