30.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

TIKETI YA KUFUZU KOMBE LA DUNIA 2022, INATAFUTWA KWA JUHUDI!!

Changamkia Odds za Kibingwa kupitia Meridianbet!!

Michezo kadhaa ya kuisaka tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 inaendelea wiki hii. Una nafasi ya kutengeneza faida ukiwa na Meridianbet! Mchongo mzima upo hivi;

Jumanne hii, Azerbaijan wataawalika Serbia katika mchezo wa Kundi A. Hii ni fursa kwako kuifuata Odds ya 1.40 kwa Serbia kwenye mchezo huu.

Upande wa pili kutakuwa na vita kati ya Slovakia vs Russia. Unamkumbuka Dzuba wa Russia? Kupitia Meridianbet, Russia amepatiwa Odds ya 2.00.

Jumatano itakuwa ni zamu ya Armenia vs Romania kunako Kundi J. Timu hizi zikiwa zimepishana pointi 3 baada ya michezo 2, matokeo ya ushindi ni kitu cha muhimu kwenye mchezo huu. Kupitia Meridianbet, tumekupatia Odds ya 2.00 kwa Romania.

Kunako mchezo wa kundi B, Ugiriki watawaalika Georgia. Timu zote zinahaha kuisaka nafasi ya kucheza Kombe la Dunia mwakani, lakini Meridianbet tumekuhakikishia faida kwa kukupatia Odds ya 1.70 kwa Ugiriki.

Alhamisi hii tunabadilisha upepo kidogo. Mchongo mzima utakuwa kule kwenye LaLiga Smartbank. Ukiachana na LaLiga Sentander, huku utakutana na vigogo wengine kadha wa kadha. 

Espanyol kuchuana na Fuenlabrada, huu ni mchezo ambao wote wanatafuta nafasi ya kucheza ligi kuu msimu ujao. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.65 kwa Espanyol.

Tutahitimisha wiki kwa mchezo wa Zaragoza vs Cartagena. Tofauti ya pointi 4 inaziweka timu hizi katika nafasi mbili tofauti, mmoja anapambana asishuke daraja wakati mwingine yupo kwenye kundi la kushuka daraja. Hapatoshi!! Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.15 kwa Zaragoza.

Meridianbet, Nyumba yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

2 COMMENTS

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles