31.8 C
Dar es Salaam
Thursday, December 12, 2024

Contact us: [email protected]

TENGENEZA FAIDA KUBWA UKIWA NA MERIDIANBET.

Tunakupatia Odds Kubwa Kwenye Baadhi ya Michezo ya Wiki Hii!

Ijumaa hii, Fiorentina watapambana na Inter Milan. Ligi ya Serie A bado mambo ni moto msimu huu! Kutoka Meridianbet, tumekuwekea Odds ya 1.65 kwa Inter kwenye mchezo huu.

Alaves atachuana na Valladolid kule kwenye La Liga. Hapa unauwezo wa kutengeneza faida kwa Odds ya 2.65 aliyopewa Alaves kupitia Meridianbet.

Jumamosi hii ni Bayer Leverkusen vs Stuttgart kwenye muendelezo wa Bundesliga. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.10 kwa Leverkusen kwenye mchezo huu.

Kwenye Serie A ni Juventus vs AS Roma. Hapatoshi jumamosi hii. Scudetto inatafutwa kwa udi na uvumba. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.80 kwa Juventus.

Kwenye EPL ni Fulham vs West Ham United. Timu inayopambana kujinasua kwenye mstari wa kushuka daraja dhidi ya timu inayowinda nafasi ya kucheza mashindano ya Ulaya msimu ujao. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.20 kwa West Ham.

Jumapili kutakuwa na mchezo wa Wolves vs Leicester City. Timu mbili zinazokuja kwa kasi kwenye uso wa timu ngumu kwenye EPL. Meridianbet tumekupatia Odds ya 2.35 kwa Leicester City kwenye mchezo huu.

Macho ya wengi yatakuwa pale Anfield, Liverpool atakapochuana na Manchester City Jumapili hii. Je, Liverpool atakubali kupoteza mchezo wa 3 akiwa nyumbani?

Mabingwa watetezi wa EPL – Liverpool wamekuwa na matokeo mabaya msimu huu na sasa wanakutana na City ambayo imeshinda michezo 13 mfululizo kwenye EPL na wanaongoza ligi kwa sasa.

Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.20 kwa City kama mgeni kwenye mchezo huu.

EPL itaendelea Jumatatu ambapo Leeds watachuana na Crystal Palace. Zikutanapo timu hizi ni burudani inayopambwa na soka lenye upinzani wa aina yake. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.90

Kwenye La Liga itakuwa ni Atletico Madrid vs Celta Vigo. Atletico anapambana kuendeleza umwamba wake kwenye msimamo wa La Liga msimu huu. Lakini Celta nao watakubali kumsaidia Simeone kuendelea kuongoza ligi? Meridianbet tumekupa Odds ya 1.70 kwa Atletico Jumatatu hii.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles