28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

Tems akaribishwa lebo ya RCA

Na Juliana Samwely (TUDARCo), Mtanzania Digital

Staa wa Muziki kutoka nchini Nigeria, Temsbaby amepata shavu kubwa baada ya kusainiwa katika Lebo kubwa ya muziki duniani ya RCARECORD inayomilikiwa na kampuni kubwa ya Sony Music.

Tems ametambulishwa kwenye lebo hiyo kupitia ukarasa rasmi wa lebo hiyo ambao wametupia picha ya msanii huyo na kuandika `Tupo kwenye msimu mpya na kwenye nafasi ya juu mambo yanaendelea kuwa vizuri kwa kuwafikia watu wengi ulimwenguni kote, Temsbaby karibu sana RCA’.

RCA ni moja kati ya lebo kubwa sana za muziki ulimwenguni ambazo zinafanya kazi na wasanii wakubwa duniani kama, Wizkidayo, Chriss Brown, Asaprocky, Aliciakeys, Usher, H.e,r na wasanii wengi duniani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles