27.1 C
Dar es Salaam
Thursday, January 2, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Tekashi 69 amliza mtoto mwenye kansa

NEW YORK, MAREKANI

RAPA mdogo na kipenzi cha wengi katika muziki wa Hip hop duniani, Tekashi 69, amemliza kwa furaha mtoto mwenye saratani ya ubongo mjini Brooklyn, Marekani baada ya kumtembelea ghafla nyumbani kwao na kutumia siku nzima kuwa naye.

Tekash amekuwa na kawaida ya kuwatembelea watoto wagonjwa sehemu mbalimbali nchini humo na juzi alifika nyumbani kwa mtoto huyo wa kike mwenye umri wa miaka nane na kumzungusha mjini huku akimfanyia manunuzi ya nguo na vitu vingine katika maduka ya ghalama.

“Leo nilipokea simu kutoka kwa msichana mrembo anayeuwa saratani ya ubongo, nilienda kwao, nimefurahi kuona tabasamu lake kwa siku nzima niliyotumia kuwa na yeye,” aliandika rapa huyo katika ukurasa wake wa picha.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles