24.2 C
Dar es Salaam
Friday, April 19, 2024

Contact us: [email protected]

Takeoff wa Migos awatamanisha mashabiki

LOS ANGELES, MAREKANI

BAADA ya kuwa kimya kwa muda mrefu rapa kutoka kundi la Migos nchini, Marekani, Kirshnik Ball ‘Takeoff’ ,amewapa hamu mashabiki ya kutaka kujua amewaandalia kitu gani katika albamu yake ya The Last Rocket inayotarajia kutoka Novemba 2 mwaka huu.

Takeoff amefuata nyayo za memba mwenzake wa Migos, Quavo aliyetoa albamu ya Huncho, iliyotikisa chati mbalimbali za muziki duniani ambapo juzi ndani ya jiji la Los Angeles, rapa huyo aliwasikilizisha wadau nyimbo zilizopo ndani ya albamu hiyo.

Mbali na Quavo na Takeoff kutoa albamu zao binafsi, albamu ya kundi la Migos inayoitwa Culture 111 inatarajia kuingia mtaani mwanzoni mwa mwaka ujao

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles