23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, September 28, 2021

#TANZIA: Waziri wa zamani afariki dunia

Na Mwandishi Wetu

Mbunge wa zamani wa Maswa ambaye pia aliwahi kuwa Waziri wa Maji kwa vipindi tofauti, Dk. Pius Ng’wandu amefariki dunia.

Dk. Ng’wandu amefariki dunia leo katika hospitali ya Somanda, Bariadi alipopelekwa kwa matatizo ya shinikizo la damu.

Waziri huyo amefariki dunia ikiwa ni siku chache tu zimepita tangu alipofunga ndoa na mkewe.

Aliwahi kuwa Waziri wa Ardhi, Maji, Nyumba na Maendeleo ya Mji mwaka 1985 hadi 1987.

Vilevile, Dk. Ng’wandu alikuwa Waziri wa Maji 1987 hadi 1990, nafasi ambayo aliishika tena mwaka 1996 hadi 1999.

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

66,457FansLike
158,460FollowersFollow
519,000SubscribersSubscribe

Latest Articles