TANESCO KUREJESHA UMEME MIKOA ILIYOUNGANISHWA GRIDI YA TAIFA

0
748

Na Mwandishi wetu


Hitilafu ya umeme iliyotokea katika gridi ya taifa imesababisha kukatika kwa umeme katika mikoa yote inayaounganishwa na gridi hiyo kukosa umeme.

Kwa mujibu wa taarifa ya Ofisi ya Uhusiano ya Shirika la Umeme nchini (Tanesco), jitihada za kurejesha umeme huo kwa haraka zinaendelea.

“Shirika linaomba radhi kwa usumbufu lakini jitihada za kurejesha umeme huo uliokatika saa moja asubuhi you katika mikoa iliyoathirika zinafanyika,” imesema taarifa hiyo.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here