28.2 C
Dar es Salaam
Sunday, January 5, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

T.I.D ammwagia sifa Wema Sepetu

Brighiter Masaki -Dar es salaam

MKONGWE wa muziki wa bongo fleva, Khaled Mohamed ‘T.I.D’ amedai staa wa filamu na mitindo nchini Wema Sepetu atabaki kuwa wa pekee katika suala la kulinda jina lake.

T.I.D amesema kikubwa ambacho anakipenda kutoka kwa mrembo huyo ni kulilinda jina lake tofauti na warembo wengine ambao wamekuwa wakisikika na baada ya muda kupotea.

“Wamepita warembo wangapi Tanzania jamani lakini jina la Wema lipo vile vile, kwa upande wangu namwona bado ni mrembo vyovyote atakavyokuwa bado analipigania jina lake,” alisema T.I.D.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
593,000SubscribersSubscribe

Latest Articles