23.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 16, 2024

Contact us: [email protected]

Studio za Expanse Zimetoa Mchezo Mpya kuelekea G2E, Las Vegas

Tengeneza faida ya Mamilioni Kupitia Sloti za Kasino ya Meridianbet!

Baada ya mafanikio makubwa kupitia michezo ya Evoji na Titan Roullette, Studio za Expanse zimetoa mchezo mpya wa kasino ya mtandaoni kuelekea maonesho ya G2E Las Vegas – Circus Fever Deluxe!

Mchezo mpya, ambao unapatikana Meridian Gaming pekee, unamaadhi ya turubai lenye wanyama na sarakasi za kipekee.

Kimsingi, kuna majokeri kwenye kila kona kama ambavyo imezoeleka, lakini kwenye vitu vingine vyote – huu mchezo ni wa kipekee. Ni mithili ya mchanganyiko wa sloti ya mtandaoni na mashine za mipira, unapambwa kwa jokeri za circus na zawadi!

Ushindi unazidishwa mara 1000!

Circus Fever Deluxe inamchezo maalumu unaoitwa Plinko na michezo miwili ya bonasi – kete na kugeza sarafu. Kwenye mchezo maalumu, unabashiri kwenye namba 1 kati ya namba 5 – 1,2,4,6 na 9 kwa kuweka thamani ya chip kuanzia upande wa kulia wa sloti. Jokeri litaangusha mpira kutoka mdomoni kwake, lakini kabla ya hilo kutokea, vyungu viwili chini ya jokeri vitachagua chip na kizidishio bila mpangilio. Kama unabahati ya mpira kupita kwenye vizuizi vyote na kufika kwenye chungu hicho, ubashiri wako utazidishwa mpaka mara 1000 ya dau lako!

Uwezekano wa malipo kwenye michanganyiko, ipo kati ya 2x na 50x ya dau lako, hivyo bonasi hii inaweza kuwa ya kuvutia zaidi.

Mzunguko wa pili wa bonasi unaitwa Kugeuza Sarafu. Inaanza kutumika pale mpira unapotua kwenye kofia ya zambarau. Huu ni mzunguko mrahisi wa bonasi ambao unahusisha kuzungusha sarafu na sloti mbili. Malipo yanatokana na kila upande wa sarafu, utapata inayoendana na upande sarafu ilipogeukia. Malipo unayoweza kuyapata kwenye bonasi hii yanafikia hadi mara 30 ya dau lako.

Jakipoti Mpya na Kubwa Kutoka Meridian – €1,129,692.15!

Kwa sasa, Casino ya Meridian Gaming imekuwa ni neno moja tu – Jakipoti kuwa duniani! Tumekuwa tukitoa mamilioni ya ushindi na jakipoti za kasino kwa miezi mingi, lakini ushindi mmoja uliweka rekodi ya dunia kwenye michezo ya sloti na pengine itaendelea kubaki hivyo.

Kwa siku za karibuni, Meridian Gaming tumetoa jakipoti ya €1,129,692.15 kupitia mchezo wa sloti wa Wild Crusade:Empire Treasures. Jakipoti kubwa zaidi kuwahi kutokea kwenye soko la Ulaya

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles