24.2 C
Dar es Salaam
Monday, May 27, 2024

Contact us: [email protected]

Stars yaanza kupigia tizi DR Congo

Na Winfrida Mtoi, Mtanzania Digital

TIMU ya Taifa ya Tanzania, Taifa Stars, imeanza mazoezi kujiandaa na mechi ya raundi ya pili hatua ya makundi wa kufuzu Kombe la Dunia 2022 dhidi ya DR Congo.

Mchezo huo utakachezwa Alhamisi Novemba 11, 2021 kwenye Uwanja wa Benjamin Mkapa, jijini Dar es Salaam ambapo mechi ya kwanza timu hizo zilipokutana Septemba 2, 2021 nchini DR Congo, zilitoka sare ya bao 1-1.

Taifa Stars ndiyo kinara wa kundi J, ikijikusanyia pointi saba sawa na Benin iliyopo nafasi ya pili, ikifuatiwa na DR Congo yenye alama tano, wakati Madagasca ikiwa na pointi tatu.

Baada ya mchezo na DR Congo, Stars itakabiliana na Madagasca ugenini Novemba 14, 2021.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles