24.1 C
Dar es Salaam
Monday, October 7, 2024

Contact us: [email protected]

Siri ya Maisha Yangu: Maumivu, faraja na hatima

Na Mwandishi Wetu

Ndoa yangu ilianza kwa matumaini makubwa, lakini haikuchukua muda mrefu mambo kubadilika. Ugomvi na vurugu vilianza kutawala maisha yangu ya kila siku. Nyumbani kulikuwa hakukaliki; karibu kila siku nilikuwa napigwa hadi kupata majeraha. Majirani walijaribu kutuliza hali hiyo, lakini juhudi zao hazikufaulu. Niliishi katika hofu, nikiwa nimezama kwenye dimbwi la huzuni na kutojua la kufanya.

Katika kipindi hicho kigumu, nilikuwa na rafiki yangu wa kiume mwenye asili ya Kiarabu. Kila nilipopigwa, nilikimbilia kwake, nikapata faraja na faragha. Alikuwa akinipa amani ya muda, kunisikiliza na kunifanya nijisikie vizuri, ingawa hali yangu nyumbani ilikuwa mbaya sana. Kwa bahati mbaya, uhusiano wetu uliingia katika mahusiano ya kimapenzi kwa sababu ya hali niliyokuwa nayo. Mwanamke akipata faraja wakati wa matatizo, ni rahisi sana kumfuata anayemfariji, na mimi sikuepuka hilo.

Muda ulivyozidi kwenda, nilibeba mimba ya yule rafiki yangu, lakini mume wangu hakujua. Niliamua kwenda kujifungulia nyumbani kwa wazazi wangu ili nipate mtu wa kunihudumia kipindi cha ujauzito na baada ya kujifungua. Siku ya kujifungua, kila mtu alishangaa. Mtoto wangu alikuwa mweupe kupita kawaida, jambo ambalo lilivuta hisia nyingi kwa manesi na ndugu. Wote waliniuliza kama baba wa mtoto alikuwa mzungu, lakini sikuwa na jibu la haraka. Kichwa changu kilikuwa kinawaza tu nitamweleza vipi mume wangu.

Nilimwambia mama yangu ukweli kuhusu chanzo cha mimba ile. Ingawa alishtuka, aliahidi kunilinda kwa hali yoyote itakayojitokeza baadaye. Kwa muda huo, niliendelea kuishi kwa mama yangu huku mume wangu akianza kudai nirudi nyumbani ili kumuonyesha mtoto wake. Kabla sijarudi kwa mume wangu, mama yangu alinichukua mimi na mtoto kwa Dr. Bokko kwa ajili ya kufanya matambiko maalum ya “kukubalika.”

Baada ya matambiko hayo, nilipatiwa pete ya maajabu ambayo niliambiwa niivae kila wakati nikiwa na mume wangu, na siku zote nilihakikisha kuwa nayo. Niliporudi nyumbani, mume wangu alifurahi sana kumuona mtoto na hakukuwa na shaka yoyote. Alionekana kumpokea mtoto bila wasiwasi wowote. Hata hivyo, siku moja aliniuliza kwa utani, “Mbona huyu mtoto ni mweupe sana?” Nilitabasamu ili kuficha hofu yangu, kisha nikamwambia, “Amechukua rangi ya Babu yake.” Alicheka na kusema kwa utani, “Inawezekana tunahitaji kupima DNA.”

Kauli hiyo ilinizidishia wasiwasi, lakini haikutiliwa maanani sana. Mtoto wetu wa kwanza alivyokuwa akikua, ile rangi nyeupe iliyovutia hisia za watu ilianza kupotea polepole. Alipofikisha miaka miwili, nilimpeleka mtoto huyo kwa bibi yake huko Mombasa. Mpaka sasa mtoto yupo huko, na nashukuru kwa picha ninazopewa mara kwa mara kuona jinsi anavyokua.

Kwa sasa nina mtoto mwingine na mume wangu, mtoto huyu amefanana kila kitu na baba yake, jambo ambalo limerudisha amani nyumbani. Yule rafiki yangu Mwarabu ameamua kujiondoa kabisa kwenye maisha yangu baada ya kumweleza nimeolewa. Huduma kwa mtoto hufanywa kupitia mama yangu, ambaye ndiye anayeshirikiana naye.

Ingawa mume wangu anawapenda watoto wote na kuwahudumia bila ubaguzi, roho yangu bado inaumia. Najiuliza siku akijua ukweli itakuwaje? Hakuna mtu mwingine anayejua siri hii zaidi ya mama yangu. Imenibidi kuishi na mzigo huu moyoni, na naamini kwamba siri hii nitakufa nayo, kwa sababu sitakaa nimuambie mume wangu ukweli.

Wasiliana na Dr. Bokko kwa namba +255 618 536 050.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
590,000SubscribersSubscribe

Latest Articles