30.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, February 27, 2024

Contact us: [email protected]

Shinda gawio lako la mizunguko 500,000 ya bure katika promosheni yetu ya power play

Meridianbet kwa kushirikiana na Playtech wanakuletea nafasi nyingine katika maisha ambapo unapata nafasi ya kushinda mgao wa mizunguko 500,000. Shindano litafunguliwa kwa wamiliki wote wa akaunti zilizosajiliwa na Meridianbet. Shindano litadumu kuanzia tarehe 18 Machi mpaka tarehe 22 Machi. Wachezaji watakaoshiriki katika promosheni kwa kushinda vocha moja halisi ya kushiriki katika droo ya tuzo kwa kila 30 000TSh (au sawa na sarafu nyingine) watakayo wekeza katika michezo yoyote iliyorodheshwa.

Michezo ifuatayo itashiriki katika promosheni:

•        Djinn of Storms PowerPlay Jackpot,

•        Book of Kings PowerPlay Jackpot,

•        Better Wilds PowerPlay Jackpot,

•        Blazing Bells PowerPlay Jackpot.

•        Egyptian Emeralds PowerPlay Jackpot

Bashiri ya pesa halisi ndio itahesabika katika promosheni. Droo ya zawadi ya promosheni ni mizunguko ya bure 500,000, mizunguko 250,000 kwa kila awamu. Thamani ya kila mzunguko ni TSh 300 au sawa na sarafu nyingine. Zawadi ya Mizunguko itakabidhiwa kwa washindi ndani ya masaa 48 baada ya droo, na wachezaji watajulishwa kwa ujumbe mfupi. Ushindi wa mizunguko ya bure hupatikana mara moja kutoa au kucheza ofa kamili katika tovuti. Mchezaji mmoja anaweza kushinda zaidi ya zawadi moja.

Vigezo na masharti kuzingatiwa. Bofya kusoma zaidi kuhusu zawadi.

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles