23.3 C
Dar es Salaam
Wednesday, May 8, 2024

Contact us: [email protected]

SHILOLE KUFUNGA NDOA OKTOBA

ESTHER GEORGE NA MATHIAS JOHN (TUDARCO)

MSANII wa muziki wa kizazi kipya, Zuwena Mohammed ‘Shilole’,  amesema mipango ya ndoa yake sasa imeiva, anatarajia kufunga Oktoba, mwaka huu, jijini Dar es Salaam.

Akizungumza na MTANZANIA jana, Shilole alisema maandalizi yanaendelea na sasa zoezi lililobaki ni kutoa kadi za mwaliko kwa ndugu, jamaa na marafiki.

“Mipango ya ndoa inakwenda vizuri, hivyo Oktoba mwaka huu utakuwa mwezi wetu ambao Mwenyezi Mungu atatubariki kuunganisha familia,” alisema Shilole.

Shilole alisema kwa hatua hiyo aliyofikia, anamshukuru Mungu na amewataka wasanii wenzake na mashabiki kumpa sapoti katika ndoa yake.

 

- Advertisement -

Related Articles

1 COMMENT

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles