30.2 C
Dar es Salaam
Thursday, May 23, 2024

Contact us: [email protected]

Sheree adai Will Smith ni shoga

shereeNEW YORK, MAREKANI

MKE wa zamani wa nyota wa muziki nchini Marekani, Will Smith, Sheree Fletcher, amedai kwamba waliachana na mume wake huyo kutokana na kuhisi kuwa ni shoga.

Wawili hao walifunga ndoa miaka ya 90, ambapo ndoa hiyo ilidumu kwa miaka mitatu na kufanikiwa kupata mtoto mmoja wa kiume ambaye walimuita Trey, lakini baada ya muda waliachana kwa kudaiwa kwamba Smith ni shoga.

Sheree alidai kwamba aliamua kuchukua maamuzi ya kuachana na msanii huyo baada ya kugundua kwamba marafiki wengi wa Smith ni mashoga, hivyo naamini na yeye alikuwa na tabia hiyo.

Hata hivyo, mama huyo aliongeza kwa kusema kwamba, umri wao ulikuwa mdogo na ndiyo maana waliweza kuachana kwa urahisi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles