26 C
Dar es Salaam
Monday, March 4, 2024

Contact us: [email protected]

Safari ya kusaka makombe imeanza kunako msimu wa 2021/22

Bashiri na Meridianbet, Uwe Miongoni Mwa Mabingwa!

Wakati Ligi Kuu soka barani Ulaya zikiendelea, baadhi ya mashindano kuanza kushika kasi huku timu zingine zikiisaka tiketi ya kucheza mashindano ya Ulaya. EFL, UEFA, Europa na Uefa Europa League kuendelea wiki hii. Meridianbet mambo yapo hivi;

Jumanne hii, Watford atachuana na Crystal Palace kwenye mashindano ya EFL Cup. Hapa zinakutana timu mbili zinazocheza EPL, vita ya huku ni tofauti kidogo – kila timu kuisaka nafasi ya kusonga mbele kwenye mashindano haya. Meridianbet tumekuwekea Odds ya 2.45 kwa Watford.

Kwenye kuiwania tiketi ya Uefa, PSV kurudiana na Benfica jumanne usiku. Mchezo wa kwanza Benfica alishinda akiwa nyumbani, atafanikiwa kumuondoa PSV na yeye kutinga hatua ya makundi kwenye Ligi ya Mabingwa? Mchongo mzima upo kwenye Odds ya 2.05 kwa PSV.

Jumatano utachezwa mchezo kati ya Shakhtar Donetsk vs Monaco, huu ni mchezo ambao AS Monaco wanaingia uwanjani wakiwa na deni ya goli 1 walilofungwa kwenye mchezo wa kwanza. Wataweza kulipa deni na hata kuwaondoa Shakhtar? Idhamini timu yako kupitia Meridianbet kwa kuifuata Odds ya 2.50 kwa Monaco.

Arsenal ataianza safari ya kuwania kombe la EFL dhidi ya West Bromwich Albion. Maisha ndani ya EPL yamewaendea kombo The Gunners kwenye michezo yao miwili ya mwanzo kwa kupokea vipigo mfululizo. Wataweza kuwapa matumaini mashabiki wao kwenye mashindano haya? Hapa kuna Odds ya 1.86 kwa Arsenal ndani ya Meridianbet.

Alhamisi hii kutakua na mchezo wa kuiwania nafasi ya kucheza mashindano ya Europa msimu huu. Hapa kuna mtanange kati ya CFR Cluj na Crvena Zvezda. Mchongo mzima upo ndani ya Nyumba ya Mabingwa- Meridianbet. Ifuate Odds ya 2.40 kwa Crvena Zvezda.

Meridianbet, Nyumba Yenye Odds Bora na Bonasi Kubwa!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
584,000SubscribersSubscribe

Latest Articles