27 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Safari ya kwenda QATAR 2022, imetamatika, tunarejea viwanjani kuchuana upya!

Epl, Serie A, Bundesliga Na La Liga Kuendelea Wikiendi Hii.

Baadhi ya mataifa yameshajihakikishia kucheza Kombe la Dunia mwakani. Wengine, wataendelea kujitafuta mwezi Machi mwakani. Ligi Soka barani Ulaya kuendelea wikiendi hii, karata ya ushindi inapatikana Meridianbet! Mkeka wako wikiendi hii, upambe kwa namna hii;

Augsburg kuwaalika Bayern Munich katika muendelezo wa Bundesliga Ijumaa hii. Huu ni mchezo ambao unazalisha magoli ya kutosha. Lolote linaweza kutokea zinapokutana timu hizi. Bayern ni wa moto, Augsburg nao – sio wanyonge, kazi wanaiweza. Ifuate Odds ya 1.18 kwa Bayern Munich kupitia Meridianbet.

EPL kushudia mtanange mkubwa kati ya Liverpool vs Arsenal. Hakika, hii ndio ligi ya soka inayofatiliwa na mashabiki wengi Duniani. Vilabu hivi vinaidadi kubwa ya wafuasi ulimwenguni. The Gunners wapo kwenye kiwango thabiti wakiwa hawajapoteza mchezo katika michezo yao 5 iliyopita. The Reds wanatupia magoli ya kila namna lakini, wanakidonda cha kupoteza mchezo dhidi ya West Ham United. Arsenal watatonesha kidonda au Liverpool watakatiza mstari wa ushindi? Yote kwa yote, Odds ya 1.47 inakusubiri kwa Liverpool ndani ya Meridianbet.

Xavi Hernandez kuitupa karata yake ya kwanza kama kocha mkuu wa FC Barcelona kwenye mchezo na watani zao wa Catalanyua – Espanyol. Ukiacha El Classico, Catalunya Derby ni mchezo mkubwa kwenye historia ya soka la Uhispania. Xavi ataianza vipi safari yake ya Ukocha pale Camp Nou? Meridianbet tumekuwekea Odds ya 1.37 kwa Barca.

Kwenye Serie A jumapili hii, Inter Milan watawaalika Napoli katika dimba la San Siro. Bingwa mtetezi wa Ligi vs kinara wa ligi kwa sasa. Uhimara wa kulinda himaya za timu zao na mashambulizi ya kushtukiza, ni miongoni mwa sifa za timu za Serie A. Mbinu za nani zitafua dafu wikiendi hii? Odds ya 2.25 imewekwa kwa Inter ukiwa na Meridianbet.Meridianbet – Bashiri Popote, Wakati Wowote.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles