26.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, May 21, 2024

Contact us: [email protected]

Rushwa ya ngono yawaponza wahadhiri

RABAT, Morocco

WAHADHIRI wanne wa vyuo vikuu nchini Moroccco wamepandishwa kizimbani wakituhumiwa kuwaomba rushwa ya ngono wanafunzi wa kike.

Wasomi hao, ambao sasa wanashitakiwa kwa kosa la udhalilishaji wa kijinsia, wamejikuta hatiani baada ya kuomba ‘huduma’ hiyo kwa minajili ya kuwapa wanafunzi alama nzuri kwenye mitihani yao.

Ukiacha hao wanne, leo alitarajiwa kufikishwa kizimbani mhadhiri mwingine kwa makosa ya aina hiyo.

Hata hivyo, hiyo inaweza isishangaze kutokana na histori ya vyuo vikuu vya Morocco katika miaka ya hivi karibuni.

Kwamba vimekuwa vikiripotiwa kuwa na utamaduni wa wahadhiri wake kutaka rushwa ya ngono kwa wanafunzi wa kike.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles