24.2 C
Dar es Salaam
Thursday, April 25, 2024

Contact us: [email protected]

Rubani wa jeshi la Uganda afarika katika ajali ya helikopita

Kampala, Uganda

Jeshi la Uganda limethibitisha kifo cha rubani wa helikopta iliyoanguka muda mfupi tu baada ya kuondoka kwenye uwanja wa ndege wa Entebbe siku ya Alhamisi.

Msemaji wa Jeshi la Uganda UPDF), Brigadia Flavia Byekwaso amesema tukio hilo lilitokea wakati wa kupindi cha mafunzo ya uendeshaji wa ndege.

“Leo mchana majira ya saa nane na robo ndege aina ya jet iliyokuwa ikiendeshwa na marubani wawili wanafunzi wa mafunzo ya kijeshi ya cadet ilianguka mara moja baada ya kuondoka karibu na ufukwe wa Lido (Lido beach). Wawili hao walikimbizwa hospitalini kuchunguzwa afya zao,” amesema. Marehemu alitambuliwa kama Kapteni Caroline Busingye.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles