28.7 C
Dar es Salaam
Thursday, June 13, 2024

Contact us: [email protected]

Rihanna awafurahisha mashabiki zake

NEW YORK, MAREKANI

BAADA ya kukaa miaka mitatu bila ya kuachia wimbo mpya, staa wa muziki wa pop nchini Marekani, Rihanna Fenty, amewafurahisha mashabiki kwa kuachia wimbo mpya ujulikanao wa kija la Private Loving.

Mapema mwaka huu mashabiki walitumia kurasa zao za mitandao ya kijamii na kumtaka msanii huyo aachia wimbo mpya kwa kuwa ni muda mrefu hajafanya hivyo.

Mara ya mwisho kwa msanii huyo kuachia wimbo ilikuwa 2016, ambapo alipoachia wimbo wa Anti, lakini bado alikuwa kwenye chati za muziki kutokana na kushirikishwa kwenye nyimbo mbalimbali.

Kupitia ukurasa wake wa Twitter, msanii huyo aliwaambia mashabiki zake kuwa, wimbo wake huo mpya upo tayari kilichobaki kazi ni kwao wajipatie furaha hiyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles