25.2 C
Dar es Salaam
Monday, April 22, 2024

Contact us: [email protected]

Rick Ross adaiwa kuiba gari la mke wake

BET Hip Hop Awards 2012 - Audience and ShowNEW YORK, MAREKANI

NYOTA wa muziki wa hip hop nchini Marekani, William Roberts ‘Rick Ross, amekanusha kuhusika katika wizi wa gari ya mke wake aina ya BMW B7 lililokuwa likitumiwa na mtoto wao mwenye umri wa miaka 9.

Msanii huyo na mke wake, Tia Kemp, walilinunua gari hilo kwa ajili ya mtoto wao kwenda nalo shule, lakini mara kwa mara Rick Ross alikuwa akipenda kulitumia kitendo kilichokuwa kikizua ugomvi kati yao wa mara kwa mara.

Mwishoni mwa wiki iliyopita gari hilo lilipotea katika mazingira ya utata hivyo Tia amemshutumu mume wake kuhusika na wizi huo.

“Siwezi kuiba gari la mwanangu kisha nilipeleke wapi? Kama limeibiwa, limeibiwa lakini siwezi kuhusika na wizi huo,” alieleza Rick Ross.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles