28.7 C
Dar es Salaam
Friday, May 24, 2024

Contact us: [email protected]

Rais Kikwete kuzindua filamu ya Mamba

jk...NA OSCAR ASSENGA, TANGA

RAIS Jakaya Kikwete anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika uzinduzi wa
Filamu ya Mamba wa Mto Zigi itakayozinduliwa Juni 5, mwaka huu katika viwanja vya Tangamano, jijini Tanga.

Kaimu Ofisa Uhusiano wa Mamlaka ya Maji na Usafi wa Mazingira jijini Tanga (Tanga Uwasa), Ramadhani Nyambuka, alisema filamu hiyo inaelezea jinsi ya mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi katika Bwawa la Mabayani.

Filamu hiyo imeandaliwa na Tanga Uwasa, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Tanga na GIZ Tanzania kwa ushirikiano na Benki ya CRDB.

Nyambuka alisema filamu hiyo inaeleza namna ambavyo mvutano kati ya Mamba wa Mto Zigi na wananchi wanaolizunguka bwawa hilo ulivyo.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
587,000SubscribersSubscribe

Latest Articles