25.2 C
Dar es Salaam
Monday, April 22, 2024

Contact us: [email protected]

Jini Kabula: Sijawahi kulala gesti na mwanaume

Miriam-JolwaNA RHOBI CHACHA
STAA wa Bongo movies, Miriam Jolwa ‘Jini Kabula’, ametoa kali kwamba katika maisha yake ya mapenzi hajawahi kulala na mwanaume kwenye nyumba za wageni.
Kabula alisema wanaume aliowahi kuwa nao kimapenzi walipotaka kumpeleka katika nyumba hizo aligoma na badala yake aliwataka wampeleke wanapoishi kama hataki hapati kitu.
“Siwezi kuficha, ukweli ndio huo kama huamini basi, mwanaume akinitaka huwa ananipeleka kwake sio gesti kama hataki aniache tu, naendeleza rekodi yangu ya kutolala na wanaume gesti,’’ alieleza Kabula.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles