Nyoshi: Nimetumia mkorogo tangu miaka sita

0
1169

nyoshiiiNA RHOBI CHACHA
MWIMBAJI na kiongozi wa Bendi ya Fm Academia, Nyoshi Elsaadat, amesema alianza kuchubua ngozi ya uso wake kwa mkorogo tangu akiwa na miaka sita.
Nyoshi anawashangaa wanaomuona wa ajabu huku akidai kujichubua kwake ni kujipamba kama wanamuziki wengi wa Kongo wafanyavyo.
“Sioni ajabu kupaka mkorogo, nimeanza tangu nikiwa darasa la sita hadi leo ni miaka mingi pia napaka kwa kuwa ni mwanamuziki ninayejua kujipamba nashangaa wanaonishangaa,’’ alisema Nyoshi.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here