27.2 C
Dar es Salaam
Tuesday, April 23, 2024

Contact us: [email protected]

Q BOY: NIPO TAYARI KUVAA SKETI

Na BRIGHITER MASAKI

MSANII wa muziki wa Bongo Fleva na mbunifu wa mavazi, Q Boy Msafi, ambaye aliwahi kuwa mbunifu wa mavazi wa msanii Diamond, amesema yupo tayari kuvaa sketi kwa ajili ya fashion show.

Q Boy ambaye anafanya vizuri na wimbo wake wa ‘Kamoyo’ amesema kuvaa sketi kutategemea nini hasa amelenga katika vazi husika.

“Kama natakiwa kuvaa sketi kwenye uhusika basi si tatizo kwangu nitafanya hivyo ili kuiweka sanaa yangu kama nilivyokusudia.

“Siwezi kuvaa na kuanza kutembea mitaani, lakini nitafanya hivyo nikiwa kazini, sitajali watu wanasema nini kwa kuwa ni sehemu ya kazi yangu,” alisema Q Boy Msafi.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles