28.8 C
Dar es Salaam
Tuesday, December 10, 2024

Contact us: [email protected]

Pjanic ajikata mshahara

KIUNGO raia wa Bosnia, Miralem Pjanic, amelazimika kupunguza mshahara wake kwa asilimia 60 ili ajiunge na Besiktas akitokea Barcelona.

Ni kweli usajili kwa Hispania ulishafungwa tangu Agosti 31, mwaka huu, lakini dirisha liko wazi nchini Uturuki.

Hivyo, Pjanic mwenye umri wa miaka 31 ametua Besiktas kwa mkopo wa msimu huu na hiyo inakuja baada ya kuonekana hana nafasi ya kucheza Camp Nou.

Msimu uliopita, nyota huyo wa zamani wa Juventus aliichezea Barca mechi 30, akiingia kikosi cha kwanza mara 13 pekee.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
592,000SubscribersSubscribe

Latest Articles