Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhandisi Hamad Masauni, akizungumza na Wakuu wa Vyombo vya Usalama vya Wizara yake katika kikao kazi kilichofanyika ofisi ndogo za Wizara hiyo, jijini Dar es Salaam, leo Septemba 10, 2022. Kushoto ni Katibu Mkuu, Christopher Kadio.