Picha: Wanafunzi Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere wawalaza CBE Netboli

0
584

Timu ya Netiboli ya Wanafunzi wa Chuo cha Kumbukumbu ya Mwalimu Nyerere leo wamewafunga chuo cha biashara (CBE) na kukifanya chuo hiko kutinga nusu fainali katika michezo ya vyuo vya elimu ya juu (SHIMIVUTA)michezo hiyo inaendelea katika jiji la Tanga.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here