24.4 C
Dar es Salaam
Wednesday, June 19, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi ya TACAIDS wajengewa uwezo

Mwenyekiti wa Kamati ya Ukaguzi ya Kamisheni ya TACAIDS, Peter Maduki akifafanua lengo la Mafunzo ya kuwajengea uwezo Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi ya TACAIDS.
Mkurugenzi Mtendaji wa TACAIDS, Dk. Leonard Maboko akifafanua majukumu ya TACAIDS kwa Mwajumbe wa Kamati  ya Kamisheni ya  Ukaguzi na utekelezaji wake.
CPA Janjason Kibona akifundisha Wajumbe wa kamati ya Kamisheni ya Ukaguzi ya TACAIDS taratibu na miongozo ya Ukaguzi kwa mujibu wa taratibu na sheria za Serikali.
Wajumbe wa Kamati ya Ukaguzi ya Kamisheni wa TACAIDS walioshiriki mafunzo ya kujengewa uelewa ili kuboresha utendaji wa majukumu ya Tume hiyo wakimsikiliza Mwenyekiti wa Kamati  Peter Maduki.
- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles