Soko la kisasa la Katundu linavyoonekana kwa juu. Soko hilo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geita.
Baadhi ya wananchi wa Mji wa Geita, wakijipatia mahitaji mbalimbali katika soko la kisasa la Katundu ambalo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geita.Baadhi ya wafanyabiashara wa Mji wa Geita, wakifurahia kutoa huduma za bidhaa mbalimbali kwa wananchi katika soko la kisasa la Katundu ambalo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geita.Baadhi ya wafanyabiashara wa Mji wa Geita, wakifurahia kutoa huduma za bidhaa mbalimbali kwa wananchi katika soko la kisasa la Katundu ambalo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geita.Mfanyabiashara wa kuku katika Mji wa Geita akiwapanga kuku wake kwenye upande wa mabanda ambayo yamejengwa kwa ajili yao ndani ya soko la kisasa la Katundu ambalo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geita.Soko la kisasa la Katundu ambalo limejengwa kwa ubia baina ya Kampuni ya Geita Gold Mining Limited (GGML) na Halmashaurti ya Mji Geita mkoani Geit