HomeAfya na Jamii Afya na JamiiKitaifa Picha| kutoka nyumbani kwa Hayati Edward Lowassa Monduli By Mtanzania Digital February 15, 2024 0 1363 FacebookTwitterPinterestWhatsApp atibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akiwafariji watoto wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha Februari 15, 2024. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akizungumza na Naibu Katibu Mkuu wake, Anderson Mutatembwa katika Msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa nyumbani kwake katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Mkuu wa Mkoa wa Arusha, John Mongella akizungumza na Makatibu Wakuu kwenye msiba wa Waziri Mkuu Mstaafu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. Katibu Mkuu Ofisi ya Waziri Mkuu (Sera, Bunge na Uratibu), Dk. Jim Yonazi akisalimiana na Mbunge wa zamani wa Rombo, Joseph Selasini kwenye msiba wa Hayati Edward Ngoyai Lowassa, katika Kijiji cha Ngarash Halmashauri ya Wilaya ya Monduli mkoani Arusha. - Advertisement - Share FacebookTwitterPinterestWhatsApp Previous articleTPLB yavuna mamilioni Yanga, SimbaNext articleChadema yatumia mabango kufikisha ujumbe Mwanza Mtanzania Digitalhttp://mtanzania.co.tz Related Articles Kitaifa Sh bilioni 20 zakusanywa treni ya SGR Siasa CCT yashauri makosa madogo yasiwe sababu kuenguliwa wagombea Biashara na Uchumi Mkutano wawekezaji sekta ya madini kukutanisha washiriki 1,500 LEAVE A REPLY Cancel reply Comment: Please enter your comment! Name:* Please enter your name here Email:* You have entered an incorrect email address! Please enter your email address here Website: Save my name, email, and website in this browser for the next time I comment. Δ Stay Connected90,904FansLike214,997FollowersFollow591,000SubscribersSubscribe Latest Articles Kitaifa Sh bilioni 20 zakusanywa treni ya SGR Siasa CCT yashauri makosa madogo yasiwe sababu kuenguliwa wagombea Biashara na Uchumi Mkutano wawekezaji sekta ya madini kukutanisha washiriki 1,500 Mahakamani Mawakili wa utetezi waomba hakimu ajitoe kwa madai hawana imani naye Biashara na Uchumi Kamati ya Bunge yapongeza usalama na afya katika viwanda vya Elsewedy Electric na Knauf Load more