26.7 C
Dar es Salaam
Monday, June 24, 2024

Contact us: [email protected]

Picha| Atiki atembelea Sekondari ya High View

Atiki Ally Atiki, Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young University katika eneo la Provo, jijini Utah, katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar es Salaam, Kulia ni Kocha wa Atiki Mark Pope, Atiki alisoma shule hiyo hadi kidato cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.

Mkurugenzi wa Shule ya Sekondari ya High View Berng Kasika kushoto akifurahia jambo na Atiki Ally Atiki, Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young University katika eneo la Provo, jijini Utah, katikati ni Mkurugenzi wa Shule ya sekondari ya High View, Berng Kasika iliyoko Gongo la Mboto Jijini Dar e Salaam Atiki alisoma shule hiyo hadi kidato cha pili mwaka 2020 kabla ya kuhamia Canada na Kisha Marekani.

Atiki Ally Atiki, Mtanzania anayesoma na kucheza Mpira wa Kikapu nchini Marekani katika Chuo Kikuu Cha Brigham Young katika eneo la Provo,Jijini Utah,akiwa amesimama katikati ya wanafunzi wa Shule ya sekondari ya High View, Gongo la Mboto, jijini Dar es Salaam baada kuzungumza nao alipotembelea shule hiyo ambayo alisoma hadi kidato Cha pili mwaka 2020 kabla ya Kuhamia Canada na Kisha Marekani.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles