26.2 C
Dar es Salaam
Wednesday, March 26, 2025

Contact us: info@mtanzania.co.tz

Pastor Beatrice atoka na Simama Nami

BEATRICE HALLANA MWANDISHI WETU

MSANII wa muziki wa Injili, Pastor Beatrice Halla, ametoka na wimbo wake mpya unaokwenda kwa jina la ‘Simama Nami’.

Beatrice katika wimbo huo ameeleza mambo mengi yakiwemo ya kumtukuza Mungu na namna ambavyo mwanadamu anatakiwa kuwa na uvumilivu kwa kuwa kila kitu kinafanyika kwa mapenzi ya Mungu.

Msanii huyo alidai wimbo huo ni mwendelezo na mwanzo mzuri wa kuelekea albamu ambayo inaendelea kukamilishwa.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
596,000SubscribersSubscribe

Latest Articles