29.2 C
Dar es Salaam
Sunday, June 23, 2024

Contact us: [email protected]

Pablo wa Simba atua

Kocha mpya wa Simba raia wa Hispania, Pablo Franco  amewasili nchini  leo Novemba 10,2021 tayari  kuanza kukinoa kikosi hicho.

Pablo mwenye umri wa miaka 41, amechukua nafasi ya  Mfaransa, Didier Gomes aliyeachana na timu hiyo baada ya kuondolewa katika Ligi ya Mabingwa Afrika.

Kibarua cha kwanza cha Pablo ataiongoza Simba katika mchezo ujao wa Ligi Kuu Tanzania Bara dhidi ya Ruvu Shooting, huku akiwa na kazi ya kuhakikisha timu hiyo inatinga makundi ya Kombe la Shirikisho Afrika.

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
588,000SubscribersSubscribe

Latest Articles