‘Ojuelegba’ wa Wizkid watesa Ulaya

0
737

Wizkid-NA BADI MCHOMOLO

WIMBO wa msanii kutoka nchini Nigeria, Ayodeji Balogun ‘Wizkid’ wa ‘Ojuelegba’, umeonekana kuzidi kufanya vizuri nchini Marekani kutokana na mastaa mbalimbali barani Ulaya kuweka wazi kuupenda wimbo huo.

Wasanii walioonyesha kuvutiwa na wimbo huo ni Drake, Alicia Keys, mpenzi wake Swizz Beatz pamoja na mpenzi wa msanii wa hip hop nchini humo, Tygar, Kylie Jenner ambaye ameweka video ya wimbo huo kwenye akaunti yake ya Instagram.

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here