24.7 C
Dar es Salaam
Saturday, April 13, 2024

Contact us: [email protected]

Ni wikiendi ya kibabe yenye mechi kali za kubashiri na Meridianbet

Serie A inaendelea tena wikiendi hii kwa mechi kati ya Juventus dhidi ya AS Roma saa 1: 30 usiku. 

Juventus aliyetoka kupoteza mchezo wa mzunguko wa pili atawavaa AS Roma aliyepo nafasi ya 3 akiwa kashinda mechi zote mbili. Meridianbet wanampa nafasi kubwa ya ushindi Juventus kwa odds ya 2.35 huku AS Roma kapewa 3.19

Serie bado kumenoga AC Milan atawakaribisha Bologna FC ambao hawajaanza vizuri kwenye ligi wakiwa wamepoteza mchezo 1, na kutoa sare 1 wapo nafasi ya 12 huku AC Milan wakiwa nafasi ya 5. unaweza kuweka chapuo lako kwenye mechi hii kupitia tovuti ya mabingwa Meridianbet www.meridianbet.co.tz. 

Kule kwa Malkia wa Uingereza nako mambo ni moto, baada ya ushindi dhidi ya Liverpool, Man UTD watawafuata Southampton, Je United ataendeleza moto wake au Southampton atauzima? Mechi hii imepewa odds kubwa sana na bashiri na ushinde kibabe hapo Meridianbet.

Crystal Palace kapewa odds ya 13.72 ashinde ugenini dhidi ya Man City aliyepewa odds ya 1.18 akiwa nyumbani Ettihad, kumbuka Man City katoka kuonjeshwa pumzi ya moto NewCastle.

Majogoo Anfield Liverpool watakipiga nyumbani kwao dhidi ya Bournemouth, Liverpool ambaye hajashinda mechi hata moja toka msimu mpya kuanza. Meridianbet wameipa nafasi kubwa zaidi ya ushindi Liverpool.

Bilas haka utasuka mikeka yako ya ushindi, endelea kufurahia ubashiri kuanzia soka, kasino na Virtual Games ukiwa na Meridianbet, ujiweke katika nafasi ya kushinda Jackpots kibao za kasino ya Mtandaoni!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
586,000SubscribersSubscribe

Latest Articles