28 C
Dar es Salaam
Friday, February 23, 2024

Contact us: [email protected]

NBA, kufuzu kombe la dunia 2022 na AFCON kurindima!!

Changamkia Odds za Kibingwa kupitia Meridianbet!!

NBA, michezo ya kufuzu Kombe la Dunia 2022 sambamba na Mashindano ya Afcon, vyote kurindima wikiendi hii!!

Ijumaa hii kwenye AfCon ni Congo vs Senegal. Soka la Afrika katika ubora wake. Kupitia Meridianbet, umepatiwa Odds ya 1.95 kwa Senegal.

Kwenye NBA jumamosi hii, LA Lakers watachuana na Philadelphia 76ers. Huu ni mchezo utakaozikutanisha timu mbili bora kwenye NBA msimu huu. Kupitia Meridianbet, Lakers wamepatiwa Odds ya 2.60

Baada ya kushinda mechi zao za awali, Norway kupambana na Uturuki jumamosi hii. Huu ni muendelezo wa michezo ya kufuzu mashindano ya Kombe la Dunia 2022. Kupitia Meridianbet, tumekupatia Odds ya 2.40 kwa Norway.

Patashika nguo kuchanika jumapili hii. Ukraine uso kwa uso na Finland. Hakika kuipata tiketi ya kucheza Kombe la Dunia 2022 lazima uipambanie! Itumie Odds ya 1.73 aliyopatiwa Ukraine kupitia Meridianbet

Armenia atachuana na Iceland katika mchezo mwingine wa kuisaka tiketi ya kucheza Komba la Dunia 2022. Kupitia Meridianbet, Iceland amewekewa Odds ya 2.20

Jumatatu itahitimishwa kwa mchezo wa Fuenlabrada vs Mallorca. Burudani hii itakuwa na maana zaidi endapo itaufuata Odds ya 2.45 waliyopatiwa Mallorca kupitia Meridianbet!

- Advertisement -

Related Articles

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

Stay Connected

90,904FansLike
214,997FollowersFollow
583,000SubscribersSubscribe

Latest Articles